KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Usisahau na kuwakumbusha kuwa NDOA NI UTAPELI MKUBWA SANA.
View attachment 3235928
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ehhh Leo Kuna kazi imeingia kazini huku jamani
- Kwa 95% mwanaume atamwacha mwanamke wake iwapo mwanamke huyo ataacha kumpa mwanaume unyumba.
- 95% ya wanawake wanawaacha Wanaume zao pale Wanaume zao wanapoacha kuwapa pesa. .
- 5% ya wazazi hawawakubali wapenzi wa watoto zao .
- Anayekwambia "sitaweza kuishi bila wewe" ataendelea kuishi maisha yake ya furaha hata bila uwepo wako.
- Wasichana warembo wana ndoto za kuelewa na wanaume matajiri.
- Wanaume wenye utajiri mkubwa wanawachukulia wasichana wao kama midoli, na hawana mapenzi ya kweli.
- Watu waliozama kwenye huba wataona maneno yangu ni ya kiboya, hadi watakapopigwa kibuti akili zikikaa sawa wataelewa ninachokimaanisha.
Umeona ehhEhhh Leo Kuna kazi imeingia kazini huku jamani
Imekuja kivingine kabisa hiiUmeona ehh
Imekujaje sheikh?Valentine's day
Imekuja kivingine kabisa hii
Nimecheka kishenzi😂😂
Pumbavu kabisa, akutukanaye hakuchagulii tusi
Imekuja na michambo sio kawaida mkuuImekujaje sheikh?
Hahaha wazee waluzooooom
Hahabhahaha hahImekuja na michambo sio kawaida mkuu