St. Valentines Day, ukweli mchungu kuhusu mapenzi na mahusiano

Hahabhahaha hah
Jana usiku saa5 "x" nilikuwa napiga sas ameolewa amenitumia sms ya happy Valentine daah kiukwel nimeumbia sana kuona wanawake walivyo waajabu jamaa huenda amelala baada ya mahangaiko alafu mkewe anawatakia happy Valentine wanaume wengine

Wanawake mnakwama wapi ukiolewa kubali kuyasahau yaliopita
 
Anataka ufumaniwe halafu upigwe paipu, wanawake wana akili za kishetani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…