Staa Aliyejichubua Hadi Kope Atafuta Mwonekano Baada Ya Kuanzisha Bifu Na Lupita Nyong'o

Umeona eeeh.........huku tunabaki kuletewa dodo na carolite.......hebu niulize ni Cameroon sehemu gani nikajipake mie..........

Maana huku wana rangi nyingi wakijichubuaa lol yaan huyu bila kuambiwa unajua ni weupe
 
Weupe ungekuwa dili ubuyu usingepakwa rangi.

Weupe ungekuwa dili usingekaa nyayoni.

Weupe dilii ndio maana weusi wengi hawaupend weus wao wanataka wang'ae acha kabisa rangi ya mtume!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…