Staa Lil Wayne kutoka YMCMB ni HIV Positive

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Haijajulikana kama ni stunt au ni ukweli wa moyo wake katika vipimo. Ila staa kutoka group ya wanamuziki wa Marekani wanaojitanaibaisha kuwa wana 'mtonyo' wa kufa mtu YMCMB, Lil Wayne ameujulisha ulimwengu kuwa yeye ni muathirika wa ugonjwa hatari wa Ukimwi. Lil wayne ameweka ujumbe huwa katika akaunti yake ya twitter. Ulimwengu hasa washabiki zake wameonyesha kushtushwa sana na ujumbe wa mtaalamu huyo wa kughani ambao umezua mjadala mkubwa mitandaoni na mitaani nchini humo na barani Ulaya.
 
Umechelewa kujua,imeshapitwa na wakati.
 
Ametoka jela ana ukimwi
Which is which

Anamuambia mtoa uzi kwamba alikuwa jela ndio ametoka leo? Anamaanisha hii habari ya zamani na ilishaletwa humu JF na watu tulichangia hii mada,sasa Money Stunna anashangaa jamaa hajaiona labda inawezekana alikuwa jela hakuwa na access na internet.
 
Attachments

  • 1411154956907.jpg
    1411154956907.jpg
    35.4 KB · Views: 428
Back
Top Bottom