bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Haijajulikana kama ni stunt au ni ukweli wa moyo wake katika vipimo. Ila staa kutoka group ya wanamuziki wa Marekani wanaojitanaibaisha kuwa wana 'mtonyo' wa kufa mtu YMCMB, Lil Wayne ameujulisha ulimwengu kuwa yeye ni muathirika wa ugonjwa hatari wa Ukimwi. Lil wayne ameweka ujumbe huwa katika akaunti yake ya twitter. Ulimwengu hasa washabiki zake wameonyesha kushtushwa sana na ujumbe wa mtaalamu huyo wa kughani ambao umezua mjadala mkubwa mitandaoni na mitaani nchini humo na barani Ulaya.
Umechelewa kujua,imeshapitwa na wakati.
Mwee eti mie ndio najua leo....
Aliweka lini??? alirefute kama ulikua uongo
Ndio umetoka JELA.mbona habari ya zamani
Ndio umetoka JELA.mbona habari ya zamani
Ametoka jela ana ukimwi
Which is which
Mwee eti mie ndio najua leo....
Aliweka lini??? alirefute kama ulikua uongo