Andika vizuriDuh Aixe Maixha Ya Wanaume Wa Nje Ya Nchi Bana
Hapo John Cena Anataman Ata Wamaxai Wawe Wanauzia Dawa Zao Huko Ulaya Hahahahah
HahahahaLeo hii John Cena anashauriwa JamiiForums.
[emoji1] [emoji1] atapita muda si mrefu kutazama maoni.
Kwani amesema kuwa hana nguvu za kiume?fahamu kuwa sio kila mwenye nguvu za kiume ana kuwa na uwezo wa kutungisha mimba!!!Akapime nguvu zake za kiume
HahahahahahaFursa hiyo kwa wanawake ila ukiwa mdangaji nadhani mnamjua jamaa kazi yake
Leo hii John Cena anashauriwa JamiiForums.
[emoji1] [emoji1] atapita muda si mrefu kutazama maoni.
Kama akipita mie namshauri kama ni kawaida tu hiyo hali.Leo hii John Cena anashauriwa JamiiForums.
[emoji1] [emoji1] atapita muda si mrefu kutazama maoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu wale jamaa bhana hawaoni hatari kutukunyuana makagari aseeAka adopt maana uwaga wakina big Sean wanampigaga kenye nanii_______