A
Anonymous
Guest
Wilaya ya kisarawe, hivi karibuni kumefanyika uhamisho wa baadhi ya watumishi kwenda vituo tofauti vya kazi, uhamisho huo umefanyika bila malipo ya stahiki ambazo watumishi wanatakiwa kupatiwa ili kufanikisha kuhama kwao.
Tatizo hili limekuwa linafanyika kwa miaka na miaka kwa hiyo kumekuwa na lundo la watumishi ambao hadi sasa hawajalipwa.
Jambo hili linaweza kuleta shida sikumoja kwa sababu itafika muda watumishi wengi watakuwa wamehamishwa maeneo mapya bila malipo na pale itakapohitajika uhamisho ufanyike upya kutaleta usugu wa jambo kwa sababu watahamishwa mara ya pili kulipwa.