mamba1 JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 466 Reaction score 248 Jul 27, 2015 #1 Mimi ni mwalim shule ya sekondari Milambo Itobo nimehamishiwa Igirubi sekondari naomba kujua stahiki zangu kama mtumishi, Je Nni stahiki zipi ambazo ninatakiwa nilipwe?
Mimi ni mwalim shule ya sekondari Milambo Itobo nimehamishiwa Igirubi sekondari naomba kujua stahiki zangu kama mtumishi, Je Nni stahiki zipi ambazo ninatakiwa nilipwe?