Staili mpya ya Harmonize kukohoa kwenye mdundo (Beat) inanikosha sana

Staili mpya ya Harmonize kukohoa kwenye mdundo (Beat) inanikosha sana

Nimetokea kuvutiwa/kunogewa sana na hii style mpya ya harmonize ya kukohoa kohoa kwenye beat wakati akiwa anaimba, kweli huyu jamaa ni teacher kama anavojiita.

Kudos kwa hilo.

Yaw yaw
Konde boooooiy
 
Staili kweli na uzuri ni kweli ila upya ukiangalia sana hakuna jipya chini ya jua....

Unawajua kina the Fushnickens ? Hao sio Kukohoa tu bali hata kwikwi na kutema mate katika flowing.....
 
Nimetokea kuvutiwa/kunogewa sana na hii style mpya ya Harmonize ya kukohoa kohoa kwenye beat wakati akiwa anaimba, kweli huyu jamaa ni teacher kama anavojiita.

Kudos kwa hilo.
Iko wapo hiyo style?
 
Back
Top Bottom