Wakuu...!
Mimi ni mpenzi mtizamaji kwa muda sasa ila nimeiona hii sina budi kuwasaidia wanaume wasiopenda vibomu. Kuna staili moja matata mno ipo mjini sasa hivi, iko hivi:
Unapata text yenye ujumbe kama huu (mfano), "Honey nipo hapa duka la nguo za kiume hapa, nimekuchukulia t-shirt, jeans na vitu vingine vidogo vidogo. Nilikuwa nataka nikuchukulie na viatu but imepelea elfu 47 sasa my kama unayo tuma sasa hivi maana ni viatu vizuri hope vitakupendeza darling"
Ukishasikia unaletewa viwalo si unasema Mungu anipe nini mie, nimepata mwanamke wa ukweli mimi na unaiachia elf 50 twaaaaa.
Saa kadhaa baadae, "Honey sijui hata nisemeje yaani wakati nakuja nimesahau mizigo kwenye bajaj halafu hata simfahamu, dah my yaani nimechanganyikiwa"
Hapo jua mzinga umefanikiwa kwa kipimo cha 5.7 richa