staili ya kusex ni kigezo cha mimba

staili ya kusex ni kigezo cha mimba

nojo

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
90
Reaction score
10
naomben msaada jamani,eti ni kweli staili ya kusex ni kigezo cha mwanamke kupata mimba? na kama ndio je ni ipi?kwan kuna comment niliiona ikisema staili ni kigezo,msaada wajameni
 
mmmh! Mi siamin katka hlo hebu fanya kumuulza huyo alokwambia il atufafanunulie vzur
 
Tumia yakawaida toka enzi,kifo cha mende

Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
 
weka mto chini ya kiuno,style ya kifo cha mende.na mchezo ukimaliza,unakaa hivyo hivyo kwa muda wa kama dakika moja kabla ya kunyanyuka.ila sometimes hayo sio lazima na mimba inaingia tu,kwenye tarehe za ovulation
 
Ninavyoelewa ni kwa wale wenye matatizo ya uzazi ndio wanashauriwa hizo sex positions ila kama hakuna tatzo lolote style yoyote mtu anaweza ku-conceive as long as ana ovulate
 
Ninavyoelewa ni kwa wale wenye matatizo ya uzazi ndio wanashauriwa hizo sex positions ila kama hakuna tatzo lolote style yoyote mtu anaweza ku-conceive as long as ana ovulate

ushauri mzuri sana huu!!
 
Hiyo ya kutafuta style kuna tatizo?mbona unaweza ku conceive hata bila penetration!yaani mbegu tu zilizomwagika kwenye nguo yako ya ndani(chupi)unapoivaa wakati wa ovulation inawezkana zikapenya na kusafiri hadi ovum ilipo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kama viungo vyenu wote wawili havina matatizo kuejaculate inside the vagina inatosha. Style doesnt matter.

Hii ni kwasababu sperms zikitoka kwenye penis zinasafiri kwa kufuata taarifa za kikemikali (chemotaxis) kuelekea ndani ya fuko cha uzazi na hatimae kwenye mirija ya uzazi na kukutana na yai.

Wanaoshauri kuhusu style wanadhani sperms zinasafiri kwa gravity, lakini hiyo si kweli ni chemotaxis na sperms zenyewe zina kiwanda cha kutengeneza nguvu (mitochondria) za kuziwezesha kusafiri umbali mrefu, hazitegemei gravity.

Swali lako linanikumbusha shauri moja la kifamilia. Kuna jamaa alikana kumpa binti mimba kwa sababu eti walifanya wima. Yeye alidhani wakiwa wima mbegu zinamwagika chini, haziingii kwenye kifuko cha uzazi. Nilipoitwa kutoa ushauri badala ya kushauri mimi nikaanza kucheka. Baadae nikakuta nimeambukiza watu wote kucheka, kesi ikaishia kwa vicheko na yule bwana akaambiwa atunze mimba na mtoto...
 
naomben msaada jamani,eti ni kweli staili ya kusex ni kigezo cha mwanamke kupata mimba? na kama ndio je ni ipi?kwan kuna comment niliiona ikisema staili ni kigezo,msaada wajameni

Piga kifo cha mende
 
Hiyo ya kutafuta style kuna tatizo?mbona unaweza ku conceive hata bila penetration!yaani mbegu tu zilizomwagika kwenye nguo yako ya ndani(chupi)unapoivaa wakati wa ovulation inawezkana zikapenya na kusafiri hadi ovum ilipo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
heeeeeeeee....:lying:
 
"The man-on-top sex positions are very good for couples who are trying to have a baby, because penetration can be very deep. If the woman holds on to her legs behind her knees and draws her thighs right back, sperm can be deposited deep in the vagina – at the neck of the womb. This provided the best chance of conception occurring." "This position permits the penis to lock securely within the vagina and hence there is no waste matter of ejaculate. For adult males with short members and low sperm cell counts, this is very beneficial."[SUP][/SUP]notes: the importance of not using too large a sex pillow while in the missionary position as it can cause the sperm to pool behind the cervix. "male-above sex promotes fertility by keeping the opening of the vagina higher than the seminal pool, which, in turn, helps sperm get into the womb and find the egg."[SUP][/SUP] there are no scientific studies regarding the best sexual positions for baby-making, the missionary (man on top) position is typically considered optimal for conception (http://en.wikipedia.org/wiki/Missionary_position} Wiki-missionary.pngWiki-missionary.png
 
Mhhhh! lol! kisukari,... ili kuongeza possibility ya kupata mimba unaweza kukaa hivyo kwa nusu saa 🙂🙂...unatakiwa kurelax tu kuhakikisha mwili hauna uchovu akili imetulia kula vizuri na kuenjoy each other to the maximum badala ya kuliona zoezi kama ni la kupata ujauzito tu. Kama wote mna afya njema mambo yatajipa tu muda si mrefu. Kila la heri.

weka mto chini ya kiuno,style ya kifo cha mende.na mchezo ukimaliza,unakaa hivyo hivyo kwa muda wa kama dakika moja kabla ya kunyanyuka.ila sometimes hayo sio lazima na mimba inaingia tu,kwenye tarehe za ovulation
 
Last edited by a moderator:
Ninavyoelewa ni kwa wale wenye matatizo ya uzazi ndio wanashauriwa hizo sex positions ila kama hakuna tatzo lolote style yoyote mtu anaweza ku-conceive as long as ana ovulate

kwan wenye matatzo ya uzazi ni staili zip wanashauriwa kufanya?
 
Kama viungo vyenu wote wawili havina matatizo kuejaculate inside the vagina inatosha. Style doesnt matter.

Hii ni kwasababu sperms zikitoka kwenye penis zinasafiri kwa kufuata taarifa za kikemikali (chemotaxis) kuelekea ndani ya fuko cha uzazi na hatimae kwenye mirija ya uzazi na kukutana na yai.

Wanaoshauri kuhusu style wanadhani sperms zinasafiri kwa gravity, lakini hiyo si kweli ni chemotaxis na sperms zenyewe zina kiwanda cha kutengeneza nguvu (mitochondria) za kuziweze
 
mimi naona swala la afya zaidi ndiyo lilamata,wanafunzi wanapeana mimba wakidu wakiwa wamesimama
 
Mmmmh!kwa njia hii wengi wangepata mimba

Back
Top Bottom