Ninavyoelewa ni kwa wale wenye matatizo ya uzazi ndio wanashauriwa hizo sex positions ila kama hakuna tatzo lolote style yoyote mtu anaweza ku-conceive as long as ana ovulate
ushauri mzuri sana huu!!
naomben msaada jamani,eti ni kweli staili ya kusex ni kigezo cha mwanamke kupata mimba? na kama ndio je ni ipi?kwan kuna comment niliiona ikisema staili ni kigezo,msaada wajameni
heeeeeeeee....:lying:Hiyo ya kutafuta style kuna tatizo?mbona unaweza ku conceive hata bila penetration!yaani mbegu tu zilizomwagika kwenye nguo yako ya ndani(chupi)unapoivaa wakati wa ovulation inawezkana zikapenya na kusafiri hadi ovum ilipo!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
weka mto chini ya kiuno,style ya kifo cha mende.na mchezo ukimaliza,unakaa hivyo hivyo kwa muda wa kama dakika moja kabla ya kunyanyuka.ila sometimes hayo sio lazima na mimba inaingia tu,kwenye tarehe za ovulation
Ninavyoelewa ni kwa wale wenye matatizo ya uzazi ndio wanashauriwa hizo sex positions ila kama hakuna tatzo lolote style yoyote mtu anaweza ku-conceive as long as ana ovulate
Kama viungo vyenu wote wawili havina matatizo kuejaculate inside the vagina inatosha. Style doesnt matter.
Hii ni kwasababu sperms zikitoka kwenye penis zinasafiri kwa kufuata taarifa za kikemikali (chemotaxis) kuelekea ndani ya fuko cha uzazi na hatimae kwenye mirija ya uzazi na kukutana na yai.
Wanaoshauri kuhusu style wanadhani sperms zinasafiri kwa gravity, lakini hiyo si kweli ni chemotaxis na sperms zenyewe zina kiwanda cha kutengeneza nguvu (mitochondria) za kuziweze
Hiyo ya kutafuta style kuna tatizo?mbona unaweza ku conceive hata bila penetration!yaani mbegu tu zilizomwagika kwenye nguo yako ya ndani(chupi)unapoivaa wakati wa ovulation inawezkana zikapenya na kusafiri hadi ovum ilipo!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
kwan wenye matatzo ya uzazi ni staili zip wanashauriwa kufanya?