Staili ya Mgomo

Staili ya Mgomo

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
549
Reaction score
23
Cheki staili ya mgomo...! Nakumbuka staili kama hii ilitumika na wazee wa madai ya afrika mashariki...! Kivumbi cha FFU walikiona...!


mgomo.jpg
 
Ebwana stail ya ukweli! nimeipenda km vipi 2kigoma iwe hivyo
 
Du! Hiyo kali,kama we mwajiri itabidi uwabembeleze tu!hmn ujanja.
Ila uku kwetu mkifanya hvy,police walivyo washenzi watawamwagia maji ya kuwasha.
 
Back
Top Bottom