Staili yako ya kunywa pombe ipoje?

Mimi nakunywa pombe Kali kwanza inaweza kuwa k vant, konyogi, value ama Hanson's choice afu nashushia na bia nne naenda zangu kulala
Hunywi pombe kali wewe!!
Hizo ulizotaja na maji tu!!

Absinthe calavera 89.9% alcohol volume.
Ukipewa utawezana[emoji23][emoji23][emoji23]



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mimi nakunywa pombe Kali kwanza inaweza kuwa k vant, konyogi, value ama Hanson's choice afu nashushia na bia nne naenda zangu kulala
Piga jibapa la kahawa nikishushia na kipande kikubwa cha tuna fish, likiisha nakunywa maji lita mbili, ya uvuguvugu. Then call it a day
 
Siku jaribu umalizie na Banana
umenikumbusha mbali kpindi nakunywa banana aina ya raha nakuja kushtuka niko kitandani nilikuwa najiuliza nimefikaje nyumbani na nilipita njia gani huwa sipatagi jibu.ila vijana wa moshi wameharibikiwa na hzo pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…