Staili yako ya kunywa pombe ipoje?

Mara nyingi naanzaga pombe kali maana kichwa yangu ni ngumu ila lazima kuwe na nyama choma kunywaga kali bila nyama choma naona kama nalikaanga Ini vile.
Kingine huwa naanzaga kunywa bar za mbali then polepole naanza kuhamia viwanja vilivyo karibu na mitaa ya nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…