Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Jana na leo na hta milele mfyuuuuuNguvu moja ni yule yuleee!
Demiss ni yule yule.Jana na leo na hta milele mfyuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mwanaume sonyoo babu weee!
Na hata badilika kamweeeee mfyuuuuuuDemiss ni yule yule.
Shangaaaa sasa nduguAmesahau nini kwangu mimi!
Mapenzi sio pesa mkuu, sema makundi ndio yamempotezea network.Inaonesha bado unampenda ndo maan umemwanzishia Uzi humu..maelezo yako yanaonesha issue kubwa ni kipato ,pambana kutafuta heshima itakufata... BTW pole mkuu kwa kunyanyaswa!
Mwanaume sonyo habari ya mjini mxeeeeeew kabisaaaamwanaume sonyoo babu weee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Na hata badilika kamweeeee mfyuuuuuu
Hahahha bibie kamvuruga haswaa naona akisonya anapoza machungumwanaume sonyoo babu weee!
Na hata badilika kamweeeee mfyuuuuuu
Haah!mkuu unakijua alichosahau.Amesahau nini kwangu mimi!
Hahahha bibie kamvuruga haswaa naona akisonya anapoza machungu
Wanipa raha Demiss:Mwanaume sonyo habari ya mjini mxeeeeeew kabisaaaa
Mxeeeeeeex kabisaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]