Stak kunyanyasika!

hahaaa nilidhani wewe gudume ..jinga kabisaaa ..hhaahaaa kwahiyo ile mechi ya Jana aliyokupiga mkuyenge ndiyo imekulevya kiasi hcho mpka umeamua kutumia avatar yake daah
Sna nenooo
 
hahaaa nilidhani wewe gudume ..jinga kabisaaa ..hhaahaaa kwahiyo ile mechi ya Jana aliyokupiga mkuyenge ndiyo imekulevya kiasi hcho mpka umeamua kutumia avatar yake daah
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]lazima.aanzishe uzi wa kulia lia

Na tutamsindikiza na sonyooooo matata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa raha zanguu babu weeeeeee

Maisha yenyewe haya haya amesahau nn

Wewe ulisema chann wenzio tukasema tutakipata lini

Na akupisheee kabisa chefuuuuuuuuuu

Mxieeeeeeeeeeeeeeew
Aliamua kukudiliti, wenzake wakakudaunilodi. [emoji2] [emoji2] ,
Nacheka kihandzabe.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]lazima.aanzishe uzi wa kulia lia

Na tutamsindikiza na sonyooooo matata
Bahati mbaya sonyo siliwezi,
Nakusaidia kumsindikiza kwa macho tu
 
Aliamua kukudiliti, wenzake wakakudaunilodi. [emoji2] [emoji2] ,
Nacheka kihandzabe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sindikiza na sonyooo

Mfyuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…