Stalker hadi kwenye simu

Nakupenda weweee [emoji8][emoji8][emoji8]
Nakupenda pia dina....I LOVE YOUUUUUU[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
 
Anaweza asiwepo Tz huyo, hakuna hiyo huduma ya private calls
 
Nakupenda pia dina....I LOVE YOUUUUUU[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Aisee nalala vyemaa,,hapa wataanza kunionea wivu
 
Aisee nalala vyemaa,,hapa wataanza kunionea wivu
haya lala usingizi mnono mtoto mzuri dina....Mimi ndio naingia night shift kwenye kibarua changu cha ulinzi wa mageti ya wahindi kule upanga.
 
haya lala usingizi mnono mtoto mzuri dina....Mimi ndio naingia night shift kwenye kibarua changu cha ulinzi wa mageti ya wahindi kule upanga.
Nalala mwororoooo,,nawe kazi njema my dia
 
Mimi zaidi

Ila huyu 'stalker' ukifanikiwa kuongea nae go easy on her aseee

Nahisi she likes you a lot wallah

Hahaaaa you are such a tease Jo!

But I'll heed your counsel...I'll take it easy with her.
 
Complications ( to some extent) , ni kitu kizuri . Mwanaume akiwa straight forward utakuwa bored mapema mno .
At last nimepata kitu ambacho kinanitatiza muda mrefu ,hivi kwanini ukiwa Straight foward unaonekana ni tatizo ?
 
Na mie niko kwenye list ya wanaotaka namba yako NN.
 
Ndio raha ya kuwa binadamu hatufanani.

Binafsi namuona NN poa tu. Hata the boss.
Uzuri kila mtu anauchaguzi ya kumpenda nani na kutokumpenda nani .
 
At last nimepata kitu ambacho kinanitatiza muda mrefu ,hivi kwanini ukiwa Straight foward unaonekana ni tatizo ?
Hakuna anaesema tatizo.

Kuna mambo unatakiwa kuwa straight forward lakini pia kukiwa na "mystery " kidogo kwenye mahusiano kuna Ka utamu fulani hivi. Na hakuna atakae boreka mapema.
 
Yaani hivi vichwa 2 sitakagi kukutana navyo kabisa kwenye maongezi mana vinachosha akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…