mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Wadau naomba kwa anayejua Swift Code ya Stambic Bank,aiweke hapa tafadhali,natanguliza shukurani kuna maoja nimeona kwa mtandao sina hakika kama ndio inayotumika hadi sasa au la kwani kwa hapabongo data nyingi za mtandaoni hazijakuwa updated kwa muda mrefu