Stambic Bank Swift Code

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Wadau naomba kwa anayejua Swift Code ya Stambic Bank,aiweke hapa tafadhali,natanguliza shukurani kuna maoja nimeona kwa mtandao sina hakika kama ndio inayotumika hadi sasa au la kwani kwa hapabongo data nyingi za mtandaoni hazijakuwa updated kwa muda mrefu
 
ningekusaidia lakini hiyo bank ya Stambic labda iko Timbuktu..hapa Tanzania haipo
 
Stanbic!!!
 
Thx kaka kwa kunisahihisha mambo ya visimu kwani huku Likulufusi hatuna umeme siku ya 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…