STAMICO lilipata kandarasi tatu (3) mpya za uchorongaji madini kama ifuatavyo

STAMICO lilipata kandarasi tatu (3) mpya za uchorongaji madini kama ifuatavyo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Katika kipindi cha Julai 2023 hadi Machi 2024, Shirika la Madini Tanzania STAMICO lilipata kandarasi tatu (3) mpya za uchorongaji madini kama ifuatavyo;

Kampuni ya Fluxing Resources ya Chemba - Dodoma yenye thamani ya shilingi milioni 650, mgodi wa Shanta Gold Mine - Singida yenye thamani ya shilingi bilioni 2.75 na Buckreef yenye thamani ya shilingi bilioni 5.01.

Aidha, STAMICO inaendelea na utekelezaji wa kandarasi katika mgodi wa GGML uliopo katika Mkoa wa Geita

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

 
Back
Top Bottom