Stamina mbioni kuuaga Ukapera

Stamina mbioni kuuaga Ukapera

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Capture-24.jpg

Rapper Stamina yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu ajulikanae kwa jina la Veronica.

Stamina amemvisha pete mchumba wake huyo jana mkoani Morogoro na kwa mujibu wa maelezo ya mtu wake wa karibu huenda rapper huyo akafunga ndoa mwaka huu baada ya maajirio.
 
halafu hakukuwa na burudani mchumba anstumbuiza ukweni.."mi nataka mwanaume mashine sio kibamia"
 
kwa nini wanaume siku hizi wanapiga magoti au ndo fashion ...maana sisi kwetu huku kismayuu ni kama kujifanyisha tu
 
View attachment 648487

Rapper Stamina yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu ajulikanae kwa jina la Veronica.

Stamina amemvisha pete mchumba wake huyo jana mkoani Morogoro na kwa mujibu wa maelezo ya mtu wake wa karibu huenda rapper huyo akafunga ndoa mwaka huu baada ya maajirio.
From my point of view, wanamuziki wa hip hop wanajitahidi sana kuoa, tofauti sana na bongo flava. Moaka sasa waliooa openly
  • Mwana FA
  • Roma Mkatoliki
  • Profesa Jay
  • AY katanagza anaoa
  • Stamina katangaza anaoa
  • Mr Sugu
  • Afande Sele (ingawa alifiwa na mke)
  • Solo Thang
  • Wagosi wa Kaya
 
kwa nini wanaume siku hizi wanapiga magoti au ndo fashion ...maana sisi kwetu huku kismayuu ni kama kujifanyisha tu

Wanaume wenyewe siku hizi tumebaki wachache tu wengi mashoga wanaoa na kuolewa..ndo maana wanawake wanaamua kusagana tu sasa!!..
 
Naona unataka kuona yaliyomo kama yamo...

kama kwa mbele ni hivi basi hata kule sio haba shekh maana dalili ya mvua mawingu shekh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na mm ngoja nkajarbu Kwa
Mwengelo kama ntakubaliwa
 
Back
Top Bottom