Naona unataka kuona yaliyomo kama yamo...Mkuu tunaweza kupata picha zaidi za huyo bibie?!
Aisee, hahahAna bebe mzuri
From my point of view, wanamuziki wa hip hop wanajitahidi sana kuoa, tofauti sana na bongo flava. Moaka sasa waliooa openlyView attachment 648487
Rapper Stamina yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu ajulikanae kwa jina la Veronica.
Stamina amemvisha pete mchumba wake huyo jana mkoani Morogoro na kwa mujibu wa maelezo ya mtu wake wa karibu huenda rapper huyo akafunga ndoa mwaka huu baada ya maajirio.
halafu hakukuwa na burudani mchumba anstumbuiza ukweni.."mi nataka mwanaume mashine sio kibamia"
Majirio=Majilio(Advent )rapper huyo akafunga ndoa mwaka huu baada ya maajirio.
kwa nini wanaume siku hizi wanapiga magoti au ndo fashion ...maana sisi kwetu huku kismayuu ni kama kujifanyisha tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unataka kuona yaliyomo kama yamo...
kama kwa mbele ni hivi basi hata kule sio haba shekh maana dalili ya mvua mawingu shekh.