Security Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 299
- 388
Welcome to the club for both..View attachment 648487
Rapper Stamina yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu ajulikanae kwa jina la Veronica.
Stamina amemvisha pete mchumba wake huyo jana mkoani Morogoro na kwa mujibu wa maelezo ya mtu wake wa karibu huenda rapper huyo akafunga ndoa mwaka huu baada ya maajirio.
Kumvalisha mwanamke pete huku umepiga goti ni kukaribisha unyonge mbele ya mwanamke, huu nimwanzo wa kukaliwa na mwanamke ndani, vijana acheni uzwazwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke kachukuliwa na footballer wa Simba, hakuna ndoa tena hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa naongezea list ya wana hip-hop waliooa
Anapiga mkorogo kwaniAtakua kichuya inaonekana huyo demu anapenda wanaume wafupi
Miezi tu mbona wengine
Watoto ndo huwa break ya ndoaStamina na Roma ni wahuni tu, Stamina alikuwa anatembea sana na machangudoa , halafu katoka kuoa tu ndoa changa, hata Shilawadu waliwahi kufatwa na Dada mmoja kazulumiwa hela baada ya sex na stamina , Stamina akabisha, ikafanyika kuunganishwa kwenye simu akakiri hadharani baada ya kuunganishwa maongezi. , kumbe alimdanganya mke wake ameenda kwenye show , walikuwa na Roma .
Hata Roma na yeye ndio zake , wakienda mikoani ni hivo hivo ,
Sasa nashangaa Stamina Anamuhukumu mke wake na kuwashauri watu wasioe ,
Narudia mwenye matatizo makubwa ni Stamina ,
Ndoa ya Roma imeyumba sana kidogo ivinjike kwa uhuni wao huo huo na Stamina , sema yule Dada Nancy mvumilivu na tayari ameshazaa na Roma watoto wawili ,