Msanii kutoka Moro Town, Stamina amesema haoni tatizo msanii wa kiume kujichubua kwani mtu huyo kabla hajawa msanii alikuwa kawaida ila baada ya kuwa msanii unakuta anachora tatoo na kuvaa hereni na watu hawaongei hivyo hata wakijichubua ni sawa tu tu na hayona haifai kuwasema vibaya
ni kweli[emoji23][emoji23][emoji23] washafanya mengi ya ajabu ajabu wacha wajichubue tu. watuwanapiga picha Msambwanda, Halafu ambao hata hatujawategemea
Kama wanapiga picha za mata*o sioni tatizo wakaijichubua..kwanza wasanii wa kiume siku hizi hakuna,maana wanavaa nguo za kike wote,suruali zinawabana mapaja utadhani madada poa