Stamina na mistari ya kuunga-unga

Stamina na mistari ya kuunga-unga

njundelekajo

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
310
Reaction score
227
anafaa kuwa mwandishi wa hadith,mistari yake mingi ni ya kiujanjaujanja mno.ila kwa kua mziki wa bongo umehama kwenye thems na contents ...funs wanashabikia mno kava la nje, bongo music is not a matter of unajua bt ni ni isue tu ya wenye mziki wao ''kula nao na hii ndo sababu ya stamina kushain,,kinyume cha hapo wasanii bora wa hiphop tanzania mpaka baada ya miaka kumi ijayo ni FID Q,JAY-MOY,GEEZ MABOV,BABUU WA KITAA,KALA JEREMIAH,MAN SULEE, najua unapenda nimuweke na roma bt nyimbo zake ni sawa na kusoma gazeti la mwanahalisi so yupo kwenye category nyingine SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI JAPO KUKAA KIMYA PIA NI BUSARA
 
Nakupa mia mia pamoja
 
Nakupa mia mia pamoja

Umemsahau legend mwingine Afande Sele just listen nyimbo zake tatu tu yaani Mtazamo, Darubini kali na Mtu na pesa yaani ndio utaona hawa wa sasa ni vituko tu!
 
kweli kaka nikimsahau
 
Yah! Umesomeka vyema. Hana jipya.
 
pia mie chipukizi Remote nakujakwenye game kwa nguvu zoote jumatatu naachia track yangu ya kwanza
 
Mbona kwa weusi hujamtaja hawapo kabisa?
 
pia mie chipukizi Remote nakujakwenye game kwa nguvu zoote jumatatu naachia track yangu ya kwanza

Hongera sana mkuu. Jumatatu naingia lindo, ninaimani nitausikia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
anafaa kuwa mwandishi wa hadith,mistari yake mingi ni ya kiujanjaujanja mno.ila kwa kua mziki wa bongo umehama kwenye thems na contents ...funs wanashabikia mno kava la nje, bongo music is not a matter of unajua bt ni ni isue tu ya wenye mziki wao ''kula nao na hii ndo sababu ya stamina kushain,,kinyume cha hapo wasanii bora wa hiphop tanzania mpaka baada ya miaka kumi ijayo ni FID Q,JAY-MOY,GEEZ MABOV,BABUU WA KITAA,KALA JEREMIAH,MAN SULEE, najua unapenda nimuweke na roma bt nyimbo zake ni sawa na kusoma gazeti la mwanahalisi so yupo kwenye category nyingine SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI JAPO KUKAA KIMYA PIA NI BUSARA

vp vjana kama one the inredible. Nikki mbish, stereo. Songa jeee
 
anafaa kuwa mwandishi wa hadith,mistari yake mingi ni ya kiujanjaujanja mno.ila kwa kua mziki wa bongo umehama kwenye thems na contents ...funs wanashabikia mno kava la nje, bongo music is not a matter of unajua bt ni ni isue tu ya wenye mziki wao ''kula nao na hii ndo sababu ya stamina kushain,,kinyume cha hapo wasanii bora wa hiphop tanzania mpaka baada ya miaka kumi ijayo ni FID Q,JAY-MOY,GEEZ MABOV,BABUU WA KITAA,KALA JEREMIAH,MAN SULEE, najua unapenda nimuweke na roma bt nyimbo zake ni sawa na kusoma gazeti la mwanahalisi so yupo kwenye category nyingine SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI JAPO KUKAA KIMYA PIA NI BUSARA

ha ha kuhusu roma hapo mkubwa umenena kuna mchambuz na msanii mkongwe ktk hphop anaitwa zavara mponjika alishawah kusema kuna wasanii wakubwa wanajfanya ma mc(mchanjaji/mwanahphop) ilihal cyo kwel ila wanachoimba ni kwaya (kwamaelezo zaid ingia hapa "www.tzhiphop.com
 
anafaa kuwa mwandishi wa hadith,mistari yake mingi ni ya kiujanjaujanja mno.ila kwa kua mziki wa bongo umehama kwenye thems na contents ...funs wanashabikia mno kava la nje, bongo music is not a matter of unajua bt ni ni isue tu ya wenye mziki wao ''kula nao na hii ndo sababu ya stamina kushain,,kinyume cha hapo wasanii bora wa hiphop tanzania mpaka baada ya miaka kumi ijayo ni FID Q,JAY-MOY,GEEZ MABOV,BABUU WA KITAA,KALA JEREMIAH,MAN SULEE, najua unapenda nimuweke na roma bt nyimbo zake ni sawa na kusoma gazeti la mwanahalisi so yupo kwenye category nyingine SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI JAPO KUKAA KIMYA PIA NI BUSARA
Ungekuwa unaamini kukaa kimya ungeanza ww kukaa kimya!
Thread yako imebebwa na sentensi "mistari yake mingi ni ya KIUJANJAUJANJA mno!".huna tafsiri ya kiujanjaujanja na mifano yake,na pia storytelling inaruhusiwa kwenye hiphop,kama ulikuwa hujui.
Zaidi kuwataja kina Geez,Babuu,Kala,na Mansulii kuwa wasanii bora wa hiphop,tena kwa miaka 10 ijayo imedhihirisha wewe ni mbumbumbu wa hiphop!Hata FidQ na Jmoe hawawezi freestyling,nguzo muhimu ya kuwa MC wa ukweli!
Jipange,vinginevyo kaa kimya maana ni BUSARA!
 
ROMA Anatoa wimbo mmoja tu kwa mwaka.......
na wimbo wake huo ni summary ya taarifa za habari za mwaka mzima.........mashairi yake ni kopy na kupaste kwa taarifa za habari......hajui uandishi
 
Back
Top Bottom