njundelekajo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 310
- 227
anafaa kuwa mwandishi wa hadith,mistari yake mingi ni ya kiujanjaujanja mno.ila kwa kua mziki wa bongo umehama kwenye thems na contents ...funs wanashabikia mno kava la nje, bongo music is not a matter of unajua bt ni ni isue tu ya wenye mziki wao ''kula nao na hii ndo sababu ya stamina kushain,,kinyume cha hapo wasanii bora wa hiphop tanzania mpaka baada ya miaka kumi ijayo ni FID Q,JAY-MOY,GEEZ MABOV,BABUU WA KITAA,KALA JEREMIAH,MAN SULEE, najua unapenda nimuweke na roma bt nyimbo zake ni sawa na kusoma gazeti la mwanahalisi so yupo kwenye category nyingine SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI JAPO KUKAA KIMYA PIA NI BUSARA
Nakupa mia mia pamoja
Umemsahau legend mwingine Afande Sele just listen nyimbo zake tatu tu yaani Mtazamo, Darubini kali na Mtu na pesa yaani ndio utaona hawa wa sasa ni vituko tu!
Umeongea ukweli mtupu.
pia mie chipukizi Remote nakujakwenye game kwa nguvu zoote jumatatu naachia track yangu ya kwanza
anafaa kuwa mwandishi wa hadith,mistari yake mingi ni ya kiujanjaujanja mno.ila kwa kua mziki wa bongo umehama kwenye thems na contents ...funs wanashabikia mno kava la nje, bongo music is not a matter of unajua bt ni ni isue tu ya wenye mziki wao ''kula nao na hii ndo sababu ya stamina kushain,,kinyume cha hapo wasanii bora wa hiphop tanzania mpaka baada ya miaka kumi ijayo ni FID Q,JAY-MOY,GEEZ MABOV,BABUU WA KITAA,KALA JEREMIAH,MAN SULEE, najua unapenda nimuweke na roma bt nyimbo zake ni sawa na kusoma gazeti la mwanahalisi so yupo kwenye category nyingine SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI JAPO KUKAA KIMYA PIA NI BUSARA
anafaa kuwa mwandishi wa hadith,mistari yake mingi ni ya kiujanjaujanja mno.ila kwa kua mziki wa bongo umehama kwenye thems na contents ...funs wanashabikia mno kava la nje, bongo music is not a matter of unajua bt ni ni isue tu ya wenye mziki wao ''kula nao na hii ndo sababu ya stamina kushain,,kinyume cha hapo wasanii bora wa hiphop tanzania mpaka baada ya miaka kumi ijayo ni FID Q,JAY-MOY,GEEZ MABOV,BABUU WA KITAA,KALA JEREMIAH,MAN SULEE, najua unapenda nimuweke na roma bt nyimbo zake ni sawa na kusoma gazeti la mwanahalisi so yupo kwenye category nyingine SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI JAPO KUKAA KIMYA PIA NI BUSARA
Ungekuwa unaamini kukaa kimya ungeanza ww kukaa kimya!anafaa kuwa mwandishi wa hadith,mistari yake mingi ni ya kiujanjaujanja mno.ila kwa kua mziki wa bongo umehama kwenye thems na contents ...funs wanashabikia mno kava la nje, bongo music is not a matter of unajua bt ni ni isue tu ya wenye mziki wao ''kula nao na hii ndo sababu ya stamina kushain,,kinyume cha hapo wasanii bora wa hiphop tanzania mpaka baada ya miaka kumi ijayo ni FID Q,JAY-MOY,GEEZ MABOV,BABUU WA KITAA,KALA JEREMIAH,MAN SULEE, najua unapenda nimuweke na roma bt nyimbo zake ni sawa na kusoma gazeti la mwanahalisi so yupo kwenye category nyingine SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI JAPO KUKAA KIMYA PIA NI BUSARA