Stamina,One incredible,Stereo na Songa

Stamina,One incredible,Stereo na Songa

HAZINA YETU

Senior Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
174
Reaction score
33
Wapo wana hip hop wengi wa zamani waliofanya vizuri lakini leo hii game yetu imeshikiliwa hasa na hao vijana wanne tajwa hapo juu.Napenda sana kusikia nyimbo zao redioni ila sema ndio hivyo tena wabana'mhhhh' wamekaba sana kiasi kwamba ni nadra kuwasikia redioni lakini sisi wadau tunajua wapi tutazipata tu.Hebu nipe tafakuri yako mdau wa hip hop ni yupi kati ya Stamina,One,Stereo, na Songa unafikiri ni mkali zaidi kwa kuandika na kuimba ikiwezekana weka punch line moja kutoka kwenye nyimbo zao kusuport point yako.
 
Kila wakati na kizazi chake!! Mimi siwajui hao wote!!! Nikitaka kusikiliza hiphop iwe ya mbele ama Bongo lazima nitafute ngoma za way back nisuuze!!!
 
One na songa wapo juu sana!
Ila Nash mc na young killer hawawez kosa ktk list hyo
 
Sterio "Nitabak juu" verse ya mwishoo sasaa anakwambia-- una mbawaa u believe u can fly -utadondokaaaa! Team#chundabad spencooooo @mbrazil
 
Waumin wa kilingeni hawa!!! Nikk mbish nae ni balaaaa
 
Jaman kwan hawa wa lini tena??,hapo namsikiaga huyo mmoja sijui ndio stamina mnamwita
 
Wapo wana hip hop wengi wa zamani waliofanya vizuri lakini leo hii game yetu imeshikiliwa hasa na hao vijana wanne tajwa hapo juu.Napenda sana kusikia nyimbo zao redioni ila sema ndio hivyo tena wabana'mhhhh' wamekaba sana kiasi kwamba ni nadra kuwasikia redioni lakini sisi wadau tunajua wapi tutazipata tu.Hebu nipe tafakuri yako mdau wa hip hop ni yupi kati ya Stamina,One,Stereo, na Songa unafikiri ni mkali zaidi kwa kuandika na kuimba ikiwezekana weka punch line moja kutoka kwenye nyimbo zao kusuport point yako.
Hapo Stereo ni hatari anakwambia "Buti kali halifai bila mtoko".
Lakini mi nisingeacha kumuweka Nikki Mbishi katika iyo list kwa kuwa asilimia kubwa ya hao uliowataja wanaiga uandishi wa Mbishi.
Pia nisingeacha kumtaja mtu kama Darasa katka iyo list.
 
Stamina simkubali hata kidogo. Wa ukweli ni Mbishi,Darasa,Wa miujiza Uno,Stereo na Songa.
 
stamina is a good rapper hila hukupaswa kumuweka hapa. ana rap kwa mifano sana half sometimes vitu visivyo na sense:
nina mistari mikali hadi george anarudi bush,
nimeanza mziki kalle na bado sijaitwa pepe, etc.
 
Sterio "Nitabak juu" verse ya mwishoo sasaa anakwambia-- una mbawaa u believe u can fly -utadondokaaaa! Team#chundabad spencooooo @mbrazil

.
anacho niudhi huyu jamaa..
.
ni verse kama hizi
.
"hii ni laana kama umezini na **** ako"
"nawa go*ga bila mchele wa ku honga"
.
sasa mistari kama hii mana ake nn
.
huyu mwingne akitumia kingereza anaonekana wa maana sana kumbe ni matusi tu ya mejaa
.
one the incledible ~ Got em mp3
 
Back
Top Bottom