Stamina,One incredible,Stereo na Songa

Jaman kwan hawa wa lini tena??,hapo namsikiaga huyo mmoja sijui ndio stamina mnamwita

.
"mistari inavuja damu nime i **** bila huruma"
.
we unae msikilizaga unadhan anamaanisha nn...
.
stamina ft young k ~jana na leo mp3
 
Niite songa n shida-bint umeishiwa vya kujiuza mpaka unajiuza mwenyewe,ficha macho,ona haya km bnt alyefukuzwa na mkwewe
 
"we ni player,njoo uchezee libolo fc"
"sipendi u-star,ndio maana mpaka leo sijafanya ngoma na kendrick lamar"
"Donge halitibu sababu tushazoea vidonge,ukitaka kujiona mwembamba tembea na vibonge"...Songalaheri Joseph Mwigala

"Nlikuwepo":bolt:
 
Songa ni solo mc,je we ni player? Njoo uchezee liboro fc. Songa anajua. Japo narusha heshima kwa WANATAMADUNI music wote na ma mc wa HipHop ya kweli Tanzania.
 

Stamina anaimba Muziki wenye Punchline nyingi sana, pengine kushinda Rapper yoyote kwa Bongo,
Moko wa Miujiza (One Incredible) yuko juu kwenye kuflow zaidi.
Songa na B-Boy Stereo flow zao ni kama za Moko kwa mbali.

Labda umechukua watu wanaofanana zaidi, au wanaofahamiana zaidi. Maana kuna Rappers kama Nikki Mbishi na King Zilla naona hawapo hapa
 
One ameshndkana SOGA ZA MZAWA ni album kali ya hip hop kutokea bongo
 
Mungu baba moko wa miujiza ni ni balaa,ni balaa nikisikilizaga Usawa wetu'na track nyingine naiwazaga Soga za mzawa,afuatie Songa,Stamina.UNO!RESPECT BROO
 
Songa ana uandishi wa kipekee sana. One na Stereo wanafanana styles na content ya nyimbo zao ni ya kawaida mara nyingi. Stamina anaunga unga mistari mwisho wa siku inashindwa kuleta maana.

Songa ana uandishi ulio fanana na One&stereo lakini Content katika nyimbo zake Huwa ni ya tofauti kabisa, kwangu Songa yupo juu ya hao wote.

Anasema
"Penda kua mcee lakini, usiombe ukutane kwenye beat na mimi, utagundua kwa nn mpaka leo uganda hakuna dada gaidi kama idiamini"
 
namzimia sana stereo na one incredible jamaa wanatisha
 
nampa credit Songa..album yake mpya naitafuta kwa udi na uvumba..halafu kwa anayejua ratiba za kilingeni aniambie siku nizame,,much respect Songa.

ni madogo wanaokosa support za redio kubwa kubwa ila wako vema sana...msalimie Ghetto Ambassador.
 
nampa credit Songa..album yake mpya naitafuta kwa udi na uvumba..halafu kwa anayejua ratiba za kilingeni aniambie siku nizame,,much respect Songa.

ni madogo wanaokosa support za redio kubwa kubwa ila wako vema sana...msalimie Ghetto Ambassador.

Kilingeni ni kila jumamosi saa 9 mchana hadi mida ya saa 2.30 usiku. Ni pale new msasani club
 
stamina ndo mc nayemkubali bongo anapangilia mistar yake kwnye style ya kipekee sana
"kocha kavunjika nyonga kapteni naongoza ligi,huu ndo mlima wa kitonga we lena ucje kwa spidi"mtu chee-mia
 
Fid Q atabaki kuwa ni mwandishi wa Hip-hop mkali kupita woote Tz,
Ukitazama kiumakini wakina Songa, Incredible, na wengine tajwa hapo juu huandika na kulazimika kujaza neno lolote hata kama ni tusi ili mradi tu kulazimisha vina kwenye verse.

Hawa ndio ambao wanaifanya Hip-hop Tanzania ishindwe kubamba kabisa!
Tuwe sirias kwa mazingira ya Tz unapochana matusi ya waziwazi kabisa kwenye mashairi yako ni kwamba unafukuza kabisa wapenzi na kuzidi kuongeza maadui wa muziki huu hapa nyumbani.

Mashairi ya Fid Q mara zote huwa si ya kulazimisha na yanayoeleweka na kukupa shule ya kutosha msikilizaji kiasi cha kuweza kukusaidia katika maisha yako ya kila siku.

Bravo mkali Fid Q.
 
...stamina hastahili kuwepo katika hii list...anarap vitu vinavyofikirika but havina sense...ni mwendo wa kama kama kama kama, who needs to hear that?.......stamina baaaaado!.
 
Stamina simkubali hata kidogo. Wa ukweli ni Mbishi,Darasa,Wa miujiza Uno,Stereo na Songa.

unajua sana....... Nadhani stamina si wakumfananisha na hao wengine walotajwa hapo. Uwezo wa stamina na style yake haiendani na ni chini sana kwa one,songa,stereo,mbishi,chata,p the mc..
 
nampa credit Songa..album yake mpya naitafuta kwa udi na uvumba..halafu kwa anayejua ratiba za kilingeni aniambie siku nizame,,much respect Songa.

ni madogo wanaokosa support za redio kubwa kubwa ila wako vema sana...msalimie Ghetto Ambassador.

Njoo kilingeni pale new msasani club jirani na zantel kils jumamosi kuanzia saa 8 utawakuta wakali wazee wa illmatrix wote hao Songa na wenzake na kuhusu album mpya ya Wakati ya Songa pia inapatikana palepale new msasani club kilasiku muda wowote Songa anashinda pale ulizia utampata na utapata album yake kwa buku 5 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…