Stamina,One incredible,Stereo na Songa

Stamina anaunga unga na mistar yake haina mantiki ki hivyo wazee wa kilinge wakali sana One,Songa,Stereo,Mbishi in short M-lab ni hiphop academy kwa bongo big up Duke kwa kuwa pamoko na vijana.
 

Kiingilio sh ngapi? Nataka kununua album ya songa na M-Lab mixtapes!
 
Kiingilio sh ngapi? Nataka kununua album ya songa na M-Lab mixtapes!

Ukitaka album weekdays unaingia free tu nakuonana nae then unanunua au ukiwasiliana nae namba yake ya simu ipo if u need it mkiwasiliana anaweza kukudirect wapi ukachukue sio lazima msasani club ht kigambon au kwingine kuna watu wsnamsaidia ila kilingeni jmosi inategemea na show smtym wanaalika wanamuziki wengine ila mara nyingi najua kiiingilia ni 1,500. Sorry
 

Kesho naingia DSM from A-town ntakuja kuingia hapo msasani kwenye kilinge.
 
Ni Tsh1500 tu, Kazi(tapes/mixtapes) za wasanii zinapatikana pia kwa bei ya Tsh 5000. Karibu
poa mkuu i will be there,thanks for info.do you mind kama ukinitajiaa wasanii ambao mara nyingi huwa wanaperform i realy want mixtape ya songa kama katoa coz ya nikimbishi nishaipatat tayri na kila siku naisikiliza
 
poa mkuu i will be there,thanks for info.do you mind kama ukinitajiaa wasanii ambao mara nyingi huwa wanaperform i realy want mixtape ya songa kama katoa coz ya nikimbishi nishaipatat tayri na kila siku naisikiliza

Mara nyingi wanaperform wasanii wa tamaduni muziki kama Songa, Maalim nash, kad go, shua mkuu, p the mc, malle marxist n.k qiki iliyopita kulikua na ugeni wa mzee sykes pia aliperform. Mixtape ya Songa WAKATI inapatikana. Na kila Jumamosi Songa na Duke wanatambulisha wimbo mmoja(hii imeanza mwaka huu) wenye simulizi juu ya kitu fulani. Wiki iliyopita walitambulisha wimbo wa USIKU. Leo watatambulisha wimbo uitwao NDEGE
 
ok mkuu iwill be there.
 

ni msasani club mkuu au new msasani club mkuu nitanabaishe tafadhali ndo niko njianai naelekea nw.
 
nani alienda kwenye RAP juzi ijumaa pale posta ground?
 
One incredible is the true champ
 
tamadun kama ...kawa kama dawa watoto wako juu ...sana...hiphop na mimi hiphop na wao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…