Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Wadau siku zote hili upate freestyle ni lazima uwaguide watoa freestyle kwa kutafuta kitu ambacho utawaambia wafreestyle juu ya hicho kitu, tena unawaambia hapohapo studio labda kwa kuwapa dk 5 hivi. Kwa mfano unawaambia pigeni freestyle juu ya siasa za bongo au juu ya maisha ya bongo au juu ya watu tuliopo studio au chochote ambacho cha kushtukiza labda juu ya pen. Hapo ndo utapata freestyle lakini bila hivyo mtu atashusha mistari yake ambayo alishaandika.
nilitaka kusema hivo hivoWadau siku zote hili upate freestyle ni lazima uwaguide watoa freestyle kwa kutafuta kitu ambacho utawaambia wafreestyle juu ya hicho kitu, tena unawaambia hapohapo studio labda kwa kuwapa dk 5 hivi. Kwa mfano unawaambia pigeni freestyle juu ya siasa za bongo au juu ya maisha ya bongo au juu ya watu tuliopo studio au chochote ambacho cha kushtukiza labda juu ya pen. Hapo ndo utapata freestyle lakini bila hivyo mtu atashusha mistari yake ambayo alishaandika.
Ivi chid beenz naye anaju freestyle kumbe?Wataalam wa free style ni
Chid beenz
Nick mbish
God zilla
Mc kama stamina? Unajua vzr tofauti ya Mc na Rapper!?Jamani mimi mwenzenu , sionagi Mc kama stamina[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
namkubali sana et angekua rapper wa kihindi angeimba Kuch kuch[emoji23][emoji23][emoji23]
he's so amaizing
mimi huwaga sielewi wanamdiss katika misingi ipiKama mm mkuu namkubaligi sana huyu jamaa japo watu wanadisi sana
Hahahahah.. Utasikia George anarudi bush.. Ndo kinyesi gani hiki,!?Sijaangalia video... Stamina hajasema ....... "Hadi Wema anaomba Sepetu"
"Babu anaitwa Tale"
Maana huyo jamaa hakawii.....
Kuna dogo mmoja toka mwanza akishinda nazan fiesta michano ni mkali kuliko wote haoSonga ana freestyle ila Stamina anaonekana ni mistari ambayo tayari ilishaandaliwa mapema,
Nawakubali wote.
Ila Kwangu mimi Songa kafunika. [emoji119][emoji119][emoji119]
Hahahahah.. Tuongee ukweli.. Sahivi kaachia jiwe linaitwa SAMMAGOLI kaachja Jana, kwaajili ya Boy Mbwana Ali SamattaYupo jamaa toka 2015 alikosa uelekeo wa game. Alianza kuimba mambo hayaeleweki.
Juzi kati walifungia track yake I'm sorry JK naona ndoto za game zimeshaanza kumshuka
Yeah nimeliskia ila truly kama unafuatilia hiphop ya bongo vizuri nikk anastress now days.Hahahahah.. Tuongee ukweli.. Sahivi kaachia jiwe linaitwa SAMMAGOLI kaachja Jana, kwaajili ya Boy Mbwana Ali Samatta
Unaongea nn we dogo.. Unaguswa eti!? Songa hafananishwi na mkaa kwani yeye ni gesi.. Ukibisha nenda booth uone anavokupaka kinyesi..Yani hawa wamezidiwa na Rozaree na Tami waliokuja kufreestyle kwenye icho kipindi.
Wewe unazungumzia "guided freestyle"... Tafuta zaidiWadau siku zote hili upate freestyle ni lazima uwaguide watoa freestyle kwa kutafuta kitu ambacho utawaambia wafreestyle juu ya hicho kitu, tena unawaambia hapohapo studio labda kwa kuwapa dk 5 hivi. Kwa mfano unawaambia pigeni freestyle juu ya siasa za bongo au juu ya maisha ya bongo au juu ya watu tuliopo studio au chochote ambacho cha kushtukiza labda juu ya pen. Hapo ndo utapata freestyle lakini bila hivyo mtu atashusha mistari yake ambayo alishaandika.
Unaongea nn we dogo.. Unaguswa eti!? Songa hafananishwi na mkaa kwani yeye ni gesi.. Ukibisha nenda booth uone anavokupaka kinyesi..