MpiganiaUhuru
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 777
- 912
Bwakila ni stan bakora, mkude simba ndo kitale.Kitale mkude simba na bwakila ni mtu mmoja... Stan bakora ni tofauti.
Ingia youtube tafuta interview ya show ya mkasi by salama akimuhoji kitale utaelewaKama mmoja wa watu waliovutiwa na comedy za hawa jamaa niliowataja hapo juu, nimejaribu kutafuta taarifa zaidi za kuwahusu kupitia google na kukuta nachanganyikiwa baada ya kuona sura tofauti na sauti ni zile zile hivyo kushindwa kujua ni sura gani inahusika na sauti gani katika maigizo yao ya kuchekesha (comedy). Nifafanulieni kwa wale mnaowajua vyema. Ahsante.
Bwakila: "Hiiiiiiihiiihii!"
Uncle: "Bwakila unalia nn?"
Bwakila: "Huuuhuuuuuu!"
Uncle: "Si nnakuuliza wewe! Usikute
ushadondosha hela"
Bwakila: "Si bora hata ningedosha hela!!"
Uncle: "Sasa unalia nn?"
Bwakila: "Nimezichanganya"
Uncle: "Ki vipi?"
Bwakila: "Si ulinipa Shilling 50 mbili!? Moja
ninunue Nyanya moja Kitunguu?"
Uncle: "Ndiyo"
Bwakila: "Nimezichanganya, sijui 50 ipi ya
Nyanya Na ipi ya Kitunguu!
Jamaa wanatisha Sana!!!
Dhuuuu!!! Stan bakora ametishaBwakila ni stan bakora, mkude simba ndo kitale.
Bwahahahahaaaaaaiiiiiiiii!!!!!Bwakila: "Hiiiiiiihiiihii!"
Uncle: "Bwakila unalia nn?"
Bwakila: "Huuuhuuuuuu!"
Uncle: "Si nnakuuliza wewe! Usikute
ushadondosha hela"
Bwakila: "Si bora hata ningedosha hela!!"
Uncle: "Sasa unalia nn?"
Bwakila: "Nimezichanganya"
Uncle: "Ki vipi?"
Bwakila: "Si ulinipa Shilling 50 mbili!? Moja
ninunue Nyanya moja Kitunguu?"
Uncle: "Ndiyo"
Bwakila: "Nimezichanganya, sijui 50 ipi ya
Nyanya Na ipi ya Kitunguu!
Jamaa wanatisha Sana!!!
Hawa ndoo waliopaisha E FMBwakila ni stan bakora, mkude simba ndo kitale.
Yap e.fm wapo vizuri n kuna jamaa mtangazaji anaitwa kicheko nae n hatariHawa ndoo waliopaisha E FM
Sorry kwa kutoka nje ya mada .
Wapo vizuri , wabunifu
Pitia youtube tafuta show ya mkasi by salama akimuhoji kitale utaelewaHata mimi pia cjafanikiwa aise kuwafahamu watu haha kabisa
Kama mmoja wa watu waliovutiwa na comedy za hawa jamaa niliowataja hapo juu, nimejaribu kutafuta taarifa zaidi za kuwahusu kupitia google na kukuta nachanganyikiwa baada ya kuona sura tofauti na sauti ni zile zile hivyo kushindwa kujua ni sura gani inahusika na sauti gani katika maigizo yao ya kuchekesha (comedy). Nifafanulieni kwa wale mnaowajua vyema. Ahsante.
Hahaha hawa hunifanya niisikilize E-FMhuwa napenda sana kile kipande cha dogo kununua kiwanja posta.