therealjoh
Senior Member
- Dec 21, 2016
- 108
- 88
Habari wakuu,nauza stand ya kuanikia nguo ya plastic kama inavyoonekana hapa chini [emoji116].
Stand ipo katika hali nzuri imetumika mwezi mmoja tu.
Mahali - Dar es salaam-Ilala-kitunda
Bei - Tsh.45,000/=
Mawasiliano - WhatsApp/call/text/ 0688 055 606.
Karibuni sana.
Stand ipo katika hali nzuri imetumika mwezi mmoja tu.
Mahali - Dar es salaam-Ilala-kitunda
Bei - Tsh.45,000/=
Mawasiliano - WhatsApp/call/text/ 0688 055 606.
Karibuni sana.