Hahahaha mkuu hii timu ni ya 4 kwa kuwa na ufadhili mnono ukiziondoa azam, yanga na simba.. Inadhaminiwa na Acacia gold mine kiasi cha 2bilion kwa msimu, kocha analipwa na mgodi, uwanja wa mgodi, msosi wa mgodi, jezi na vifaa vyote wananunuliwa na mgodi, wanakaa kwenye kambi za mgodi (Buzwagi) ambazo ni world standards kila facilities zipo, gym ya kisasa , swimming pool, uwanja wa kisasa ambao hata ucku una mataa ya ukweli, vyakula ndo usiseme.... Na bado ni mambulura!!!! Nilishangaa sana wachezaji walipotaka kugoma kukaa kwenye kambi za mgodi kisa wanataka wakakae hoteli (submarine hotel) ili wafanye umalaya tuuuu.. Tanzania tuna safari ndefu sana