Stand Utd Kumshitaki Msemaji wa Ruvu Shooting!

Pukudu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
3,149
Reaction score
2,232
Mwenyekiti wa timu Ya Stand Utd ametangaza kumshitaki msemaji wa Ruvu Shooting Masau Bwire kwenye kamati Ya nidhamu na uongozi Ya Ligi ,kutokana na maneno Ya chuki, na udhalilishaji dhidi Ya Stand Utd.
Msemaji huyo mwenye maneno mengi amekuwa akiwaita stand kuwa ni wauwaji, wachawi! Pia akidai kuvamiwa na. Watu wenye mapanga bila kuwa na ushahidi, Pia anawatuhumu na polisi.
 
Hahahaaa mbona mtaeleweka tu hyo timu cyo ya masawe bwiru hyo timu niyakikosi cha jeshi ruvu jkt hvo kumshitaki bwire bado kuna utata
 
Hahahaaa mbona mtaeleweka tu hyo timu cyo ya masawe bwiru hyo timu niyakikosi cha jeshi ruvu jkt hvo kumshitaki bwire bado kuna utata
chrisno Yeye ndo anatuhumu Stand , wakati timu yake ndo wahuni, unakumbuka walivomfanya! Tambwe .
Kafungwa kakosa sababu kaona asingizie chama la wana!
 
Last edited by a moderator:
huyu bwire hata akishuka daraja bado haishi kutajwatajwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…