Kwa ile picha pale,kwamba stand imegharibu bilioni 4,inashangaza kidogo.
Bilioni 4 ni pesa nyingi sana.Haiwezekani stand ijengwe kwa kiwango kile kwa gharama kubwa namna hii.
Mheshimiwa Rais una moyo mwema sana,lakini kwa mambo haya nakuomba unyanyue fimbo.
Kule kuna bilioni 30 za Lupaso,hakuna jipya,hapa na pale hizi bilioni ni nyingi nyingi,tunanusa kitu.
Tafadhali Rais wangu,sema neno hata la kukemea.Wameshazoea sasa
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app