The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
Mkuu nikiwa nayo hiyo naweza fungua JF yangu?
Kariiibu tena boss..[emoji3]Ahsante kwa taarifa...
ipo boss...unaweza nicheki kwa namba hii 0621973591chief bado ipo
Boss niletee pesa hiyo.Hii bado ipo tu?...chukua 250k
Jmos niijie hapo
Samahani Mheshimiwa! Naomba kufahamu matumizi yake. Maana umetaja na mambo ya IT!Wadau hii server rack cabinet bado ipo...Mteja akiwa mdau wa IT kuna offer ya some other devices atapatiwa like wireless router or Huawei switch either of them
Mkuu wadau wa hiyo industry ya Information Technology nimewataja hapo kwa vile hizo attached devices ambazo nazitoa kama offer zinamatumizi makubwa kwao kwa upande wa Network Configurations,hiyo server cabinet ingawa unaweza ibadilishia matumizi lakini hasa hasa kazi yake kubwa ni kuhifadhia computer system zinazotumika kama server...nimejaribu kuzungumza kwa lugha rahisi kiongozi..kama sijaeleweka una swali linalohitaji ufafanuzi zaidi kwenye hilo karibu.Samahani Mheshimiwa! Naomba kufahamu matumizi yake. Maana umetaja na mambo ya IT!