Standard Bank ya UK kuilipa serikali ya Tanzania fidia sakata mkopo USD milioni 600

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

Serikali ya Tanzania kulipwa fidia na benki ya Standard ya uingereza kutokana na rushwa iliyogubika mkopo wa dola miloni 600 mwaka 2013.

Sakata hili tulishuhudia aliyewahi kuwa Kamishina Mkuu wa TRA Harry Kitilya na wenzie watatu wakienda lupango.

Ikumbukwe Zitto Kabwe alilalamika sana akisema walionewa na hakukuwa na rushwa.

Zitto hajawahi kuwa na Nia nyoofu na taifa hili.

Kwake ni deal kwanza mengine badae.
 
Tueleweshwe kwanza imekuaje rushwa na kwa vipi sio rushwa.
 
Ndugu zangu,

Serikali ya Tanzania kulipwa fidia na benki ya Standard ya uingereza kutokana na rushwa iliyogubika mkopo wa dola miloni 600 mwaka 2013.

Sakata hili tulishuhudia aliyewahi kuwa Kamishina Mkuu wa TRA Harry Kitilya na wenzie watatu wakienda lupango.

Ikumbukwe Zitto Kabwe alilalamika sana akisema walionewa na hakukuwa na rushwa.

Zito ni zimwi kwenye hii nchi
 
niliona Sioi alifungua kesi kuishitaki hiyo benki kuwa benki hiyo iliibia serikali ya tanzania
 
Back
Top Bottom