Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Zito ni zimwi kwenye hii nchiNdugu zangu,
Serikali ya Tanzania kulipwa fidia na benki ya Standard ya uingereza kutokana na rushwa iliyogubika mkopo wa dola miloni 600 mwaka 2013.
Sakata hili tulishuhudia aliyewahi kuwa Kamishina Mkuu wa TRA Harry Kitilya na wenzie watatu wakienda lupango.
Ikumbukwe Zitto Kabwe alilalamika sana akisema walionewa na hakukuwa na rushwa.
https://www.facebook.com/
DuhZito ni zimwi kwenye hii nchi
zito ni wa burundi...mrundiZitto hajawahi kuwa na Nia nyoofu na taifa hili.
Kwake ni deal kwanza mengine badae.
niliona Sioi alifungua kesi kuishitaki hiyo benki kuwa benki hiyo iliibia serikali ya tanzaniaNdugu zangu,