Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Ndio maana nilipofika NMB siku moja juzi kuingiza tusenti kwenye a/c ya dogo nikaambiwe nitoe maelezo,vile vijisenti ni vya nini? Kwa hiyo ikabidi nyuma ya pay slip. Sijui kama na wengine yamewakuta haya mambo.
Wanajilinda tu hao si unajua siku hizi " Data privacy" kwenye Financial institutions ni issue?
...with effect from 8th of October, 2010 a new provisionshall be added .... which deals with Disclosure and the same shall read as follows:-
"Without prejudice to any rights of any Standard Chartered Group (SCG) member to disclose information as provided by General Law or applicable legislation or regulation, I/We agree that any SCG member may disclose any relevant information to any Authorized recepient, regardless of the country or territory.
Authorized Receient shall mean:
a)
b)
c)
d)
e)Any regulatory, Supervisory,governmental or quasi Governmental Authority which has jurisdiction over any SCG member
f)
g)....."
Money laundering haiwezi kuzuiwa na vimkakati uchwara, mbona Chenge alipitisha vijisenti vyake (USD 1000,000/-) na vikafika visiwa vya Jersey bila bughdha....Ila mlalahoi thubutu uone.... Unaweza ushtakiwe kwa kosa la uhaini....kisa?...system haikujui???
Kiongozi,
Maelezo ya nini tena? Kwamba hizo pea unazotaka ku-deposit umezipataje? Strange!
hiyo ni sheria ndogo ya baadhi ya benki mkuu , kuna limit fulani ambayo huwa wanaruhusu wateja ku-withdrawal bila kikwazo ......but ikizidi hiyo limit ni lazima uandini barua in advance ili waweze ku-stabilise liquidity ya branch husika.nikamwambia mimi pia nina a/c hapa na hata posho yangu ya mwisho wa mwezi inapita hapa,check basi uone, jamaa akasema nimepewa amrina hiyo. Nikamuuliza,amri hii inagusa wote?akacheka vizuri hadi na mimi ikabidi nifuate masharti yake. Akaniambia na yy hajui kwa nini wakuu wakuu wake kwa nini wanasumbua wateja.
Kali ya pili,ni hii,ukitaka kuchukua vijisenti nmb basi visizidi 3.0m,hasa kwa mikoani,vinginevyo andika barua siku moja kabla. Hili bado halijanipata.
Hivi mafisadi wanaulizwa yote haya? Au ni sisi tu akina pangu pakavu tia mchuzi? Lakini yote haya yana mwisho.