Standard Chartered Bank

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,148
Salaam wadau!!
Tafadhali, kama kuna member yeyote humu jamvini ambae ni staff wa Standard Chartered Bank au anamfahamu staff wa hiyo benki, please; let me know!
 
nampata jamaa mmoja anafanya branch ya arusha. wa nn?
 
Nimeku pm.Umeyaelewa maelezo?
 
So what ukishamjua na kama ni siri huna haja ya kuleta humu,pia ujue kuna watu si staff wa huko lakini wanajua mabo ya huko weka mambo hadharani tukusaidie.
Salaam wadau!!
Tafadhali, kama kuna member yeyote humu jamvini ambae ni staff wa Standard Chartered Bank au anamfahamu staff wa hiyo benki, please; let me know!
 
Salaam wadau!!
Tafadhali, kama kuna member yeyote humu jamvini ambae ni staff wa Standard Chartered Bank au anamfahamu staff wa hiyo benki, please; let me know!

Mtwangie huyu 0754 69 91 02
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…