House4Rent Standard house for sale in kitunda

House4Rent Standard house for sale in kitunda

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
salaam,
Nyumba inapatikana kitunda.
Km 3.5m kutoka NYERERE ROAD (old pugu road)
Details
Nyumba ina vyumba vitatu (kimoja master)
Ina tiles na gypsum
Ina leseni ya makazi na pia ipo kwenye zoezi la urasimishaji wa makazi. (Bicon zimeshawekwa)
Eneo ni sqm 750 (30*25)
Bei: 45m
IMG_20190201_104057.jpeg
IMG_20190201_104608.jpeg
IMG_20190201_104544.jpeg
IMG_20190201_104352.jpeg
IMG_20190201_104243.jpeg
IMG_20190201_104441.jpeg
IMG_20190201_104422.jpeg
IMG_20190201_104624.jpeg
IMG_20190201_104632.jpeg
IMG_20190201_104412.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20190201_104224.jpeg
    IMG_20190201_104224.jpeg
    43 KB · Views: 66
Hapo ukute mwenye nyumba anataka 30m tu. Mlolongo wa madalali ukaharibu biashara.
Ndio tatizo kubwa la sisi waswahili,
Hata kama bei ingewekwa 10m ungesema mwenye NYUMBA anataka 5m.
Katika maisha siku zote unapoona unachokihitaji kinaendana na bei husika na umeridhika nacho ni uamuzi wako wew kufanya maamuzi wala haina haja ya kuumiza nafsi yako na kusononeka.
Sijaona haja ya kunung'unika ilhali hujaridhika hata na bidhaa yenyewe inayouzwa.

N.b binaadamu huwa hatuishi kulalamika kumbuka hilo.
 
Biashara Ikihusisha Dalali Ujue Wazi Wazi Huenda Akaharibu
Inawezekana ukawa uko sahihi.
Dalali kuhusika si kosa, bila huyo Dalali sidhan hata kama ungefahamu kama hiyo NYUMBA inauzwa.
Jambo LA muhimu ni kuona thamani halisi ya kinachoozwa na bei iliyotajwa.
Ukiona bei ni kubwa kuliko thamani halisi ya kinachouzwa unaangalia upande mwingine.
N.b Fanya maamuzi baada ya kuridhika na unachokihitaji
 
Hiyo nyumba imefanyiwa zindiko, tambiko, kafara na kinga?
Kama bado, natoa huduma hizo kwa gharama nafuu sana, njoo pm tuyajenge
 
Bongo ukinunua nyumba huchelewi kukutana na majini
 
Bongo ukinunua nyumba huchelewi kukutana na majini
Nimefuatilia comments zako nyingi
"Wew jamaa una tabia za kinafiki sana sio siri"
Watoto wa kiume huwa hawana tabia za namna hiyo.
Kama utakwazika sorry sana, ila jua hivo.
 
Nimefuatilia comments zako nyingi
"Wew jamaa una tabia za kinafiki sana sio siri"
Watoto wa kiume huwa hawana tabia za namna hiyo.
Kama utakwazika sorry sana, ila jua hivo.
Unafiki unalipa sana
 
Back
Top Bottom