Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 439
- 528
Salaam Wana jukwaa la Ujenzi,wakiwemo wahandisi Ujenzi na Mafundi wote.Nahitaji kujua standard ratio ya Kuweka Sakafu ya Cement ikoje
.Nina Eneo lishawekwa Jamvi la Ukubwa wa SQM 145.Fundi ameniambia Mifuko 10 inatosha.Nimeingiwa na wasiwasi kama yupo sahihi.Nimeamua Kutumia option ya Sakafu hii badala ya Terrazo au Tiles ili pia Kupunguza gharama.Ni Eneo la biashara.Miaka 30 iliyopita nyumba ya familia ilitiwa Sakafu ya Sementi na bado ipo imara.Aidha nimtembelee zile quoters za Magomeni zilijengwa na TBA wametia sakafu ya Cement na IPO vizuri.
Hebu wataalam Sementi ratio standard ni ipi,kwa maana ya Cement:Mchanga:Maji.