wadau eeeeh,kwa wale wanaotaka kazi za ukweli tena hata mbele,ingieni kwenye website ya www.standardcharted.com/careers,hawajamaa sio wababaishaji kabisa kwanza hawana staili za kuvutana mkono,mm niliomba post fulani hv wakaniita kwenye online interview,nimeshindwa mwenyewe,nilipata 14/20 kwa kuwa ilikuwa ni ya dkk 25 hvyo muda ukafika nikawa cjamaliza maswali yote kujibu baadae wakanitumia mesegi kwenye email yao kwamba nijaribu next time