Tea Party
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 658
- 1,133
Habari zenu wakuu! Natumaini mko poa na ni wazima wa afya hasa watu wa jukwaa hili la entertainment.
Nisifanye ajizi na niende moja kwa moja kwenye mada.
Mapema mwaka huu BASATA walitangaza kuwa tuzo za TMA zimerudi ambapo Seven Mosha wa Sony na Natasha Stambuli wa Boomplay walitangazwa kuwa wanakamati.
And kwa sasa tuzo zimeshafika hatua ya nominations na kuna mabadiliko makubwa sana yameonekana.
Itoshe kusema, tuzoza mwaka huu zimeleta standards za kimataifa ambazo tulikuwa hatujawahi kuziona. Tuliishia kuzionakwa wenzetu tu.
Haya ni baadhi ya mabadiliko ya kupongezwa :
1. Ishu Ya Wadhamini
Tofaui na mwaka jana na mwaka juzi mwaka huu, tuzo zimepata wadhamini wakubwa kama Pepsi, NHC na wengineo.
Hiki kitu mwaka jana mwaka juzi hakikuwepo.
Kwa ambavyo mchakato unavyoenda wadhamini wengi zaidi wanatarajiwa kujitokeza
2. Uwepo Wa BET na MTV
Mwaka huu tuzo za TMA zitaoneshwa kwenye kituo cha BET ambacho kina makao yake makuu nchini Marekani pamoja na MTV Base.
Maana yake ni kwamba kuna wazungu na wadau wapya wa muziki wataweza kuangalia tuzo hizi kwenye mataifa tofauti tofauti
3. Utolewaji Wa Nomination.
Tulikuwa tumeshazoea kwamba nominations za TMA huwa zinatolewa kiholela na kwa mkupuo lakini kwa mwaka huu, nominations zimetoka kimkakati.
Waandaaji wameingia contract na Millard Ayo ambapo nominations zinatangazwa ndani ya siku tano. Huu ni ububifu wa aina yake na unapaswa kupongezwa.
4. Kutoa Suala La Gender Kwenye Tuzo.
Kama mtakuwa mmechunguza mwaka huu, vipengele vingi wametoa wametoa mambo ya Best Male Na Best Female.
Hiki ni kitu cha kupongezwa mno kwani hata tuzo kubwa duniani the likes of Grammy na VMAs walishaachaga mtindo huo.
Mwisho niwapongeza kina Seven Mosha na wenzake kwa ubunifu wao and tuna hamu kuona the main event!