Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kujiuzuli was a form ya kuonyesha hakubaliani na hataki kuwa sehem ya tatizo.Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Leo kuna Gwajima.
Niliiangalia presser yake yote.
Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.
Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.
Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.
You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.
Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.
Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Hakujiuzulu kwa sababu hiyo.Kujiuzuli was a form ya kuonyesha hakubaliani na hataki kuwa sehem ya tatizo.
Last time i check only viongoz wa ulaya wanafanya haya
Mkuu, Ndugai hakuwahi kujizuru, ila kwa public record tutaichukua hivyo ulivyoiwekaMpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Leo kuna Gwajima.
Niliiangalia presser yake yote.
Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.
Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.
Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.
You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.
Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.
Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
Ule utaratibu wa Gwajima kujibu siku za jumapili kwenye jengo lake Bado upo?Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Leo kuna Gwajima.
Niliiangalia presser yake yote.
Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.
Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.
Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.
You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.
Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.
Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
However you want to characterize it, hakuna cha kuomba radhi wala kujiuzulu chochote.Mkuu, Ndugai hakuwahi kujizuru, ila kwa public record tutaichukua hivyo ulivyoiweka
Namuona gwajima kama popo. Si ndege si mnyama. Ni popo atafutaye cha kupopoa. Ni njaa na uchawa vinavyomsumbua huyuMpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Leo kuna Gwajima.
Niliiangalia presser yake yote.
Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.
Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.
Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.
You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.
Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.
Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
Hakuna uongo aliousema siku ile.Gwajima namuona yupo vizuri anaweza kushikilia bomba
Gwaji amewasha moto.....mabua, majani makavu, na vichaka vinawakaMpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Leo kuna Gwajima.
Niliiangalia presser yake yote.
Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.
Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.
Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.
You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.
Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.
Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
Ndungai aliomba radhi na kujiuzulu at gun point.Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Leo kuna Gwajima.
Niliiangalia presser yake yote.
Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.
Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.
Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.
You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.
Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.
Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
We msukule unayeweza kumshauri ni maiti tu, nakufahamu vizuri iko siku nitaku-expose ngedere weMpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Leo kuna Gwajima.
Niliiangalia presser yake yote.
Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.
Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.
Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.
You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.
Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.
Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
Kamtishe mamako huko, fala wewe 🖕.We msukule unayeweza kumshauri ni maiti tu, nakufahamu vizuri iko siku nitaku-expose ngedere we
Gwajima ana sumbuliwa na njaa mkuu?Namuona gwajima kama popo. Si ndege si mnyama. Ni popo atafutaye cha kupopoa. Ni njaa na uchawa vinavyomsumbua huyu
Kujipanga kwake ni kusema ukweli na kuusimamia bila kutetereka.atakuwa ni mjinga na mtu wa ajabu kama alikuwa hajajipanga …
Rais wa Tanzania ni Mungu.Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.