Standing on business: Gwajima usiwe kama Ndugai!

Kujipanga kwake ni kusema ukweli na kuusimamia bila kutetereka.

nilichomaanisha ni kwamba ni lazima alijipanga na consequences na alijua hivyo sina mashaka na Gwajima kabisa nina uhakika amejipanga …
 
Kujiuzuli was a form ya kuonyesha hakubaliani na hataki kuwa sehem ya tatizo.
Last time i check only viongoz wa ulaya wanafanya haya
Hakujiuzulu kwa kuwajibika . Ndugai alilazimishwa na kina malecela
 
Gwajima hawezi wekwa mtu kati ka Ndugai.

Ni mbele kwa mbele.
 
Alitakiwa kuongea katika vikao vya ndani vya chama au wao kwa wao:
Kuongea nje ya vikao rasmi inachukuliwa kama uasi:

Ni kama habari mbaya za baba yako unaenda kuziongelea barabarani:
 

Njaa mbaya sana. Kuna Mijamaa CCM njaa yao iko kichwani. Hata wakila kiasi gani hawashibi.
 
Ungelitoka hadharani ukamtetea lingelikuwa jambo jema sana kwake kwamba angalau kuna watu nyuma yake. Sasa wewe umejificha, eti "Nyani Ngabu" ila yeye akomae! Ahahahahaha!

Haya. Ngoja tuone!
 
Alitakiwa kuongea katika vikao vya ndani vya chama au wao kwa wao:
Kuongea nje ya vikao rasmi inachukuliwa kama uasi:

Ni kama habari mbaya za baba yako unaenda kuziongelea barabarani:
Asingesikilizwa. Isingesaidia chochote kutokomeza utekaji, serikali kutenda haki kwa wananchi wake na kufuata sheria, katiba.

Ametoa ushauri mzuri tu. Ushauri wake ushugulikiwe na serikali.
 
Hakuna uongo aliousema siku ile.
Tatizo kubwa ni kuwa CCM wana-act kama nyumbu i.e. mmoja anaposhambuliwa kwa kusema ukweli, wengine wanashindwa kumsaidia kusimamia ule ukweli. Ndugai aliposema ukweli kuhusu kukopa, Gwajima alimwandikia meseji na kusema ''This is the Ndugai I know''. Bahati mbaya ile meseji ikavuja. Nni kilifuata? Gwajima alimkana na kusema hakuwa anaanishi kumuunga mkono. Fast foward, leo na yeye yamemkuta. Wangekuwa wanaungana mmoja anapodhulumiwa mambo yangebadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…