Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Viongozi wa Tanzania pasua kichwa. Kikwete alitukanwa wee na Mnyika lakini alinyamaza ila alikuwa Epa.However you want to characterize it, hakuna cha kuomba radhi wala kujiuzulu chochote.
Hakuna uongo uliosemwa na Gwajima au hata Ndugai kipindi kile.
ndio hivyo tena, kujitoa muhanga kuna ghalama zake:Asingesikilizwa. Isingesaidia chochote kutokomeza utekaji, serikali kutenda haki kwa wananchi wake na kufuata sheria, katiba.
Ametoa ushauri mzuri tu. Ushauri wake ushugulikiwe na serikali.
Ndungai alinyooshewa mtutuMpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Leo kuna Gwajima.
Niliiangalia presser yake yote.
Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.
Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.
Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.
You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.
Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.
Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
Good advsieMpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Leo kuna Gwajima.
Niliiangalia presser yake yote.
Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.
Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.
Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.
You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.
Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.
Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
Gwajima ana sumbuliwa na njaa mkuu?
Kama Speaker wa Bunge ananyooshewa mtutu haishangazi kuona wasaka tonge wakipotezwa just kwa kutoa maoni tu.Ndungai alinyooshewa mtutu
alimnanga ndugai kanisani kwake, utakumbuka alimpeleka gwajima kwenye kamati ya maadili na madaraka ya bunge na akasimamishwa vikao kadhaa nadhani.Tatizo kubwa ni kuwa CCM wana-act kama nyumbu i.e. mmoja anaposhambuliwa kwa kusema ukweli, wengine wanashindwa kumsaidia kusimamia ule ukweli. Ndugai aliposema ukweli kuhusu kukopa, Gwajima alimwandikia meseji na kusema ''This is the Ndugai I know''. Bahati mbaya ile meseji ikavuja. Nni kilifuata? Gwajima alimkana na kusema hakuwa anaanishi kumuunga mkono. Fast foward, leo na yeye yamemkuta. Wangekuwa wanaungana mmoja anapodhulumiwa mambo yangebadilika.
Kwa serikali hii kuna gharama kubwa sana. Ila Watanzania wengi wakiunga mkono haki, watawala itabidi watende haki.ndio hivyo tena, kujitoa muhanga kuna ghalama zake:
kuna ukweli ambao hautakiwi kuongelewa:
Ndio na jana kajibuUle utaratibu wa Gwajima kujibu siku za jumapili kwenye jengo lake Bado upo?
Ningependa nikimsikia jumapili akijibu
Kwa jinsi Gwajima alivyo sidhani,sio rahisiLeo wamelifungia kanisa lake. Wataendelea na mbinu nyingine za kumnyanyasa.
Naombea asitetereke maana alichokizungumza ni ukweli mtupu.
Hakuna haja ya kuomba radhi kwa kusema ukweli.
Ndugai ndo alimuanza Gwajima, uzuri you tube Iko,alimnanga ndugai kanisani kwake, utakumbuka alimpeleka gwajima kwenye kamati ya maadili na madaraka ya bunge na akasimamishwa vikao kadhaa nadhani.
Wanampa kichwa tu na wanampoteza.Rais wa Tanzania ni Mungu.
Wakiamua kuruka na Gwajima hakuna Mtanzania atakaye mtetea Gwajima ni mdogo sana kama waliweza kuruka na padre wa RC sembuse Gwajima.
I hope atasimama kwenye principle!Kwa jinsi Gwajima alivyo sidhani,sio rahisi
Na ndo kumekucha ss ngoja tuone
Yes na jana amesema hivyo, Alikuwa liveI hope atasimama kwenye principle!
Hakuna alichodanganya.
Nimeumia sana jamani hii nchi nakwazika na bado tunaona sawa tuKwa jinsi Gwajima alivyo sidhani,sio rahisi
Na ndo kumekucha ss ngoja tuone
Mungu Yuko usiogopeNimeumia sana jamani hii nchi nakwazika na bado tunaona sawa tu