mgunda1990 Member Joined Jul 19, 2012 Posts 73 Reaction score 4 Jul 12, 2013 #1 jaman mwenye hii ki2 soft copy naomba aiweke humu tafadhali,tunaburuzwa sana haki zetu zinatafunwa hivihivi tunaona! Natanguliza shukrani!
jaman mwenye hii ki2 soft copy naomba aiweke humu tafadhali,tunaburuzwa sana haki zetu zinatafunwa hivihivi tunaona! Natanguliza shukrani!
B Bandio Senior Member Joined Feb 19, 2012 Posts 101 Reaction score 12 Jul 14, 2013 #2 Kweli mkuu kuna shida kubwa, itakuwa vizuri pia kwa mtu mwenye Kanuni za Utumishi wa Umma,2003 atusadie.
Kweli mkuu kuna shida kubwa, itakuwa vizuri pia kwa mtu mwenye Kanuni za Utumishi wa Umma,2003 atusadie.
Dancani JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 796 Reaction score 403 Jul 14, 2013 #3 Bandio said: Kweli mkuu kuna shida kubwa, itakuwa vizuri pia kwa mtu mwenye Kanuni za Utumishi wa Umma,2003 atusadie. Click to expand... Ila inayotumika kwa sasa ni ya mwaka 2009
Bandio said: Kweli mkuu kuna shida kubwa, itakuwa vizuri pia kwa mtu mwenye Kanuni za Utumishi wa Umma,2003 atusadie. Click to expand... Ila inayotumika kwa sasa ni ya mwaka 2009
M Misterdennis JF-Expert Member Joined Jun 4, 2007 Posts 1,741 Reaction score 481 Jul 18, 2013 #4 mgunda1990 said: jaman mwenye hii ki2 soft copy naomba aiweke humu tafadhali,tunaburuzwa sana haki zetu zinatafunwa hivihivi tunaona! Natanguliza shukrani! Click to expand... Nikumbushe mkuu, on monday niiweke huku
mgunda1990 said: jaman mwenye hii ki2 soft copy naomba aiweke humu tafadhali,tunaburuzwa sana haki zetu zinatafunwa hivihivi tunaona! Natanguliza shukrani! Click to expand... Nikumbushe mkuu, on monday niiweke huku