Stanging Orders!

Stanging Orders!

SONGEA

Senior Member
Joined
May 29, 2008
Posts
101
Reaction score
8
Naomba kuuliza, hivi STANDING ORDERS inayotumika sasa ni ya mwaka gani?? mi najua ya mwaka 1994.

Mwaka juzi nilisikia tetesi kuwa inatoka mpya, ila mpaka leo sijasikia tena wala kuona>

Kama ipo mpya naweza kuipataje??
 
Back
Top Bottom